Deuteronomy 26:2

2 achukueni baadhi ya mavuno ya kwanza ya yale yote mtakayozalisha kutoka udongo wa nchi ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa na mweke kwenye kapu. Kisha uende mahali ambapo Bwana Mwenyezi Mungu wako atapachagua kuwa makao kwa ajili ya Jina lake
Copyright information for SwhKC